Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luambano: Uzalendo haupimwi kwa mtu kuvaa Jezi

Gfdtd Luambano: Uzalendo haupimwi kwa mtu kuvaa Jezi

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Serikali ikihimiza uzalendo kwa Mashabikiwa Vilabu vya Simba na Yanga kuelekea michezo yao ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Waziri wa Michezo Damas Ndumbaro amesema kama mtanzania atavaa jei za wageni basi atakuwa na wajibu wa kuonesha pasi yake y kusafiria.

Sasa Mchambuzi wa Michezo kutoka Clouds Media, Alex Luambano anasema;

“Dhamira ni kuona mgeni hapewi sapoti ya aina yoyote na mtanzania haya mambo mengine ni namna tu ya uwasilishaji”

“Hii itawafanya wanaofikiria negative kuona acha watulie yasije yakawakuta mengine ,ingawa uzalendo haupimwi kwa kumwambia mtu kuhusu kuvaa jezi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live