Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lopetegui atambulishwa West Ham, asaini Miaka miwili

Welcome Julen Lopetegui 16x9 2 Julen Lopetegui

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Westham yenye maskani yake Jijini London, imemsajili rasmi Julen Lopetegui raia wa Hispania kama kocha mkuu wa klabu hiyo.

Klabu ya Westham yenye maskani yake Jijini London, imemsajili rasmi Julen Lopetegui raia wa Hispania kama kocha mkuu wa klabu hiyo. Lopetegui anachukua mikoba kutoka kwa David Moyes ambaye aliondoka msimu uliokamilika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live