Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

London Derby: Nani atakuwa mbabe leo?

Chelsea Arsenal London Derby

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo katika dimba la Emirates utapigwa mchezo kati ya Arsenal na Chelsea ambao utakuwa ni London Derby.

Arsenal yupo kwenye nafasi ya kuwania taji la EPl huku Chelsea akiwa anakimbizia nafasi ya kucheza michezo ya mabingwa ulaya msimu ujao.

Matokeo mzunguko wa kwanza Chelsea 2- Arsenal 2 ⚽Cole Palmer 15' ⚽ Mykhailo Mudryk 48'

⚽ Declan Rice 77' ⚽Leandro Teossard 84'

Arsenal vs Chelsea 4:00 Usiku Emirates Stadium

Nani ataibuka mbabe leo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live