Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lomalisa kuikosa Medeama

Joyce Lomalisa Mutambala Lomalisa kuikosa Medeama

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Yanga SC, Joyce Lomalisa kuikosa Medeama katika mchezo wa tatu wa hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika utakaopigwa Ijumaa hii, Desemba 8, 2023.

Afisa habari wa kikosi cha Yanga, Ali Kamwe amethibitisha kuwa mlinzi huyo wa kushoto wa kikosi hicho hajasafiri na timu hiyo kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa Al Ahly.

Kwenye mchezo huo, Yanga walitoka sare ya 1-1 na hivyo kuwa na alama 1 kwenye msimamo wa kundi lao hivyo kushikilia mkia katika kundi lao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live