Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lomalisa huenda akabaki Yanga, Mazungumzo ya Mkataba yaanza

Lomalisaadfs Mlinzi wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa pembeni wa Yanga SC, Joyce Lomalisa ambae anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu, inawezekana akasalia kwani tayari management yake na Yanga wameshaanza kujadili na kufikiria kumuongeza mkataba mwingine wa kuendelea kubaki Yanga kwa misimu mingine.

Mlinzi wa pembeni wa Yanga SC, Joyce Lomalisa ambae anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu, inawezekana akasalia kwani tayari management yake na Yanga wameshaanza kujadili na kufikiria kumuongeza mkataba mwingine wa kuendelea kubaki Yanga kwa misimu mingine. Lomalisa ana ofa nyingine ila kipaumbele chake cha kwanza ni kubaki Yanga, kwa sababu bado anatamani kuendelea kusalia nchini Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: