Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lomalisa atua Namungo

Lomalisa Yao Lomalisa atua Namungo

Fri, 28 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio, Beki Joyce Lomalisa (31) anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao.

Baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio, Beki Joyce Lomalisa (31) anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao. Lomalisa awali alikuwa anatajwa kujiunga Simba lakini mambo yakaenda tofauti na sasa inaelezwa Namungo inayonolewa na Kocha Mkongomani, Mwinyi Zahera ina mpango wa kumpa mkataba wa miaka miwili staa huyo mwenye mataji mawili ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live