Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lomalisa amkosha Profesa Nabi

Lomalisa Yanga Mk Lomalisa amkosha Profesa Nabi

Thu, 6 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiwango alichokionyesha beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, kimemkosha kocha wake Nasreddine Nabi na kusema anatarajia makubwa zaidi kutoka kwa Mkongomani huyo.

“Haya yalikuwa mazingira mapya hivyo alihitaji muda kuzoea na kujua namna ya kucheza na wenzake, ni mchezaji mzuri ambaye naamini anaweza kutoa mchango mkubwa zaidi kwenye kikosi chetu, alicheza vizuri kiukweli.

“Naamini kuwa tutaendelea kuona mazuri kutoka kwake, siku hizi mabeki wa pembeni wamekuwa na mchango mkubwa kwenye upatikanaji wa matokeo, wanawajibika kushambulia na kuzuia,” alisema Nabi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live