Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Logo za GSM Zang'olewa Kwa Mkapa

Simba333 Logo za GSM zikiondolewa

Fri, 10 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba SC na Shirikisho la soka Tanzania TFF wamefikia makubaliano ya pamoja baada ya kuibuka utata kufuatia Simba SC kugomea logo ya kampuni ya GSM kutumika kwenye mkutano wake na wanahabari kuelekea mchezo wa watani wa jadi.

Hatimaye klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba SC na Shirikisho la soka Tanzania TFF wamefikia makubaliano ya pamoja baada ya kuibuka utata kufuatia Simba SC kugomea logo ya kampuni ya GSM kutumika kwenye mkutano wake na wanahabari kuelekea mchezo wa watani wa jadi. Logo hizo zilipambwa pia kwenye uwanja wa Mkapa utakaopigwa mchezo huo lakini baada ya mazungumzo hayo logo hizo sasa zimetolewa na kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya Simba SC wamechapisha ujumbe wa kuhamasisha mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live