Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yazinduka UEFA

Salah Mohamed 22 Liverpool yazinduka UEFA

Wed, 5 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majogoo wa Jiji, Liverpool jana wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rangers katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield.

Majogoo wa Jiji, Liverpool jana wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rangers katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya saba na Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 53 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi sita na kusogea nafasi ya pili wakizidiwa pointi tatu na Napoli baada ya wote kucheza mechi tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live