Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yawatembezea kichapo Aston Villa

Liverpool Vs Villa Liverpool yawatembezea kichapo Aston Villa

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumapili Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Dominik Szoboszlai dakika ya tatu, Matthew Cash aliyejifunga dakika ya 22 na Mohamed Salah dakika ya 55.

Kwa ushindi huo, Wekundu hao wanafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Aston Villa wanabaki na pointi zao sita nafasi 11 baada ya wote kucheza mechi nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live