Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yathibitisha kumsajili Wataru Endo

Endo Wataru Endo

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool Fc wamethibitisha kumsajili kiungo wa kati wa Japan Wataru Endo kutoka Stuttgart kwa kiasi cha €19m akisaini mkataba wa miaka minne.

Endo anakuwa usajili wa tatu kusajiliwa Liverpool dirisha hili baada ya Alex Mac Allister na Dominik Szoboszlai.

Endo atavaa jezi namba 3 iliyokuwa ikivaliwa na Fabinho ambae ametimkia Saudi Arabia.

Kwa Vyovyote Vile Liverpool ilikua inahitaji Kiungo wa Ulinzi, Je Endo ataweza kutatua tatizo la msingi la Liverpool.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live