Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yanasa saini ya kipa wa boli Mamardashvili

Giorgi Mamardashvili(1) Giorgi Mamardashvili

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano ya kumsajili golikipa Giorgi Mamardashvili kutoka Valencia kwa dau la Euro Milioni 35 kuanzia mwaka 2025.

Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano ya kumsajili golikipa Giorgi Mamardashvili kutoka Valencia kwa dau la Euro Milioni 35 kuanzia mwaka 2025. Mamardashvili (23) raia wa Georgia atasaini mkataba wa miaka sita na ataendelea kubaki Valencia kabla ya kujiunga na Liverpool kuanzia msimu wa 2025/26.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live