Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yamtoa kwa Mkopo Sepp van den Berg

Schalke 04 Apparently On Loan From Liverpools Sepp Van Den Sepp van de Berg

Wed, 31 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool imethibitisha kukamilisha uhamisho wa beki wao Sepp van de Berg kwa mkopo wa muda mrefu kwenda klabu ya FC Schalke 04 inayoshiriki Ligi ya Bundesliga ya nchini Ujerumani.

Taarifa iliyotumwa kwenye mitandao ya kijamii ya klabu hizo mbili zinaonesha kuwa tayari kuna makubaliano kati yao, huku Liverpool wakimtakia kila la heri mchezaji wao ambaye ataenda kuanza maisha mapya akiwa na miamba hiyo ya Ujerumani.

Van den Berg, ambaye amecheza mechi nne za wakubwa akiwa na majogoo tangu uhamisho wake wa paundi Milioni 4.4 kutoka PEC Zwolle mwaka 2019, alitumia msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya Preston ambako alicheza michezo 50 katika mashindano yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live