Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yampotezea Palhinha

Arsenal Na Chelsea Kwenye Mbio Kumsaka Nyota Wa Fulham Joao Palhinha João Palhinha

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool haina mpango wa kuongeza nguvu eneo la kiungo mkabaji kwa kumsajili Palhinha, Liverpool wame toa Muongozo kwamba Palhinha Umri wake wa miaka 28 ni mkubwa kwa malengo yao ya muda mrefu pia dau lake la £60m bado sio salama kwa mahitaji ya Liverpool

Liverpool haina mpango wa kuongeza nguvu eneo la kiungo mkabaji kwa kumsajili Palhinha, Liverpool wame toa Muongozo kwamba Palhinha Umri wake wa miaka 28 ni mkubwa kwa malengo yao ya muda mrefu pia dau lake la £60m bado sio salama kwa mahitaji ya Liverpool Liverpool wanaamini hawana papara mipango yao eneo la kiungo mkabaji lita pata mtu sahihi kwa utulivu atakae weza kuja kufanya kazi na Wataru Endo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live