Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yakutana Saudi Arabia

Wijnaldum X Henderson Liverpool yakutana Saudi Arabia

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa zamani wa Liverpool, Gini Wijnaldum amekamilisha vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na klabu ya Al Ettifaq kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 10 kutoka Paris Saint-German.

Wijnaldum (32) raia wa Uholanzi atasaini mkataba wa miaka mitatu na ataungana na mchezaji mwenzake wa zamani Liverpool, Jordan Henderson sambamba na nguli wa Liverpool Steven Gerald ambaye ndio kocha mkuu wa Miamba hiyo ya Saudi Arabia.

Msimu uliopita Wijnaldum alikipiga chini ya Jose Mourinho huko AS Roma kwa mkopo kutokea Paris Saint-German ambako alicheza mechi 14 tu kabla ya majeraha kukatisha mwenendo wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live