Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yaendeleza Mbio za Kuufukuzia Ubingwa

Liverpool 2 Liverpool yaichapa 2-0

Fri, 11 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabao ya Mreno, Diogo Jota dakika ya 34 na 87 yameipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Anfield.

Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 51 katika mechi ya 23, ingawa inabaki nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tisa na mabingwa watetezi, Manchester City ambao pia wamecheza mechi moja zaidi.

Leicester City inabaki na pointi zake 26 za mechi 21 sasa katika nafasi ya 12.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live