Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool yaanza mazungumzo na mrithi wa Klopp

Amorin Mazungumzo kocha wa Sporting Lisbon, Ruben Amorim

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool tayari imeshaanza mazungumzo na mkufunzi wa Sporting Lisbon Ruben Amorim, ili kuchukua nafasi ya Jurgen Klopp.

Imeripotiwa kuwa klabu ya Liverpool tayari imeshaanza mazungumzo na mkufunzi wa Sporting Lisbon Ruben Amorim, ili kuchukua nafasi ya Jurgen Klopp. Hata hivyo kumekuwa na mjadala kuhusu gharama za kumchukua Amorim ambapo inakadiriwa gharama za kuvunja mkataba wake pale Lisbon ni takriban pauni milioni 8.5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live