Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool waweka ngumu kwa Andy Robertson

Andy Robertson Real Mlinzi wa Liverpool, Andy Robertson

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Liverpool inafikiria kuanza mazungumzo na mchezaji wao Andy Robertson ili wamuongezee mkataba mpya mchezaji huto raia wa Scotland mwenye umri wa miaka 29

Timu ya Liverpool inafikiria kuanza mazungumzo na mchezaji wao Andy Robertson ili wamuongezee mkataba mpya mchezaji huto raia wa Scotland mwenye umri wa miaka 29 Liverpool wanadai hawana wasiwasi mbali ya kuwa tetesi zinaonyesha kuwa mchezaji huyo yupo kwenye mipango ya Bayern Munich wanayemtaka ili kuziba pengo la mchezaji wao Liverpool anayefikiria kuondoka klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live