Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool washikilia ajira ya Ten Hag Man United

Ten Hag Aomba Mashabiki Wa Man Utd Msamaha Kocha wa Man United, Erik Ten Hag

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Manchester United Erik Ten Hag huenda akaondoshwa Manchester United tarehe sawa na aliyoondoshwa kocha wa zamani wa klabu hiyo Jose Morinho.

Inaelezwa kuwa Ten Hag akipoteza mchezo wake dhidi ya Liverpool ndio inaweza kuwa tiketi ya kuondoka kwake.

Mchezo dhidi ya Liverpool utapigwa Decembe 17 na akipoteza anaweza kuondoshwa Jumatatu asubuhi ya December 18.

Mashabiki wa Liverpool wanasema wanahitaji Ten Hag asifukizwe hadi wamalizane, hii ina maana gani wadau

Chanzo: www.tanzaniaweb.live