Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool wanavyomkimbiza mwizi kimya kimya

Liverpool Vs Villa Wachezaji wa Liverpool

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je wajua kuwa Liverpool ndiyo timu pekee kwa sasa ambayo imecheza michezo mingi ya ligi bila kufungwa?

Tangu April 17 imecheza jumla ya michezo 14. Kati ya michezo hiyo imeshinda 11 na kutoa droo michezo 3 tuu.

6-1 (Leeds)

3-2 (Nottingham Forest)

2-1 (West Ham)

4-3 (Spurs)

1-0 (Fulham)

1-0 (Brentford)

3-0 (Leicester)

1-1 (Villa)

4-4 (Southampton)

1-1 (Chelsea)

3-1 (Bournemouth)

2-1 (Newcastle)

3-0 (Villa)

3-1 (Wolves)

Kiujumla wamekusanya alama 33 kati 42 walizopaswa kuzichukiua katika michezo hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live