Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool wampigia simu Rodrygo

Rodrygo Liverpool wampigia simu Rodrygo

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool imetajwa kuzungumza na kiungo mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya Taifa Brazil Rodrygo Goes kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao.

Taarifa kutoka nchini Uingereza katika Jiji la Liverpool zinaarifu kuwa Liverpool imefanya mawasiliano na Real Madrid juu ya kuulizia dau la mchezaji huyo Ili wamsajili katika dirisha kubwa la usajili.

Mawasiliano hayo yamearifiwa kwenda vizuri na taratibu zingine zinatarajiwa kuanza Ili kuangalia uwezekano wa kumsajili mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live