Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool wajipanga kuzuia uhamisho wa Salah

Mo Salah 2 Mohamed Salah

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa zinadai kuwa klabu ya Liverpool imejiandaa kukataa ofa yoyote itakayokuja mezani ikimuhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Mo Salah kabla ya dirisha hili la usajili kufungwa September 1.

Kwa mujibu wa taarifa zinadai kuwa klabu ya Liverpool imejiandaa kukataa ofa yoyote itakayokuja mezani ikimuhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Mo Salah kabla ya dirisha hili la usajili kufungwa September 1. Klabu ya Al Ittihad kutoka Saudi Arabia inatajwa kujipanga kupeleka ofa kwa ajili ya Mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live