Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool waingia anga za Real Madrid

Arda Guler Kiungo wa kimataifa wa Uturuki na Real Madrid Arda Güler

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool imepanga kumsajili kiungo mshambuliaji kinda wa klabu ya Real Madrid raia wa Turkiye Arda Güller katika dirisha hili la usajili.

Klabu ya Liverpool imepanga kumsajili kiungo mshambuliaji kinda wa klabu ya Real Madrid raia wa Turkiye Arda Güller katika dirisha hili la usajili. Klabu ya Real Sociedad pia wameonesha nia ya kumsajili kinda huyo kwa mkopo katika dirisha hili la usajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live