Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool waigusa pabaya Bayern Munich

Jamal Musiala Liver Kinda wa Bayern Munich, Jamal Musiala

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool ni miongoni mwa klabu za Premier League zinazovutiwa Jamal Musiala mwenye umri wa miaka 20, ambaye mkataba wake na Bayern Munich utafikia tamati June 2026.

Klabu ya Liverpool ni miongoni mwa klabu za Premier League zinazovutiwa Jamal Musiala mwenye umri wa miaka 20, ambaye mkataba wake na Bayern Munich utafikia tamati June 2026. Bayern hawako tayari kumuachia kinda huyo kwa kuwa inaonekana yuko katika mipango yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live