Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool waichapa West Ham Anfield

Liverpool Salaha X Jota.jpeg Liverpool waichapa West Ham Anfield

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumapili Uwanja wa Anfield.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 16, Darwin Nunez dakika ya 60 na Diogo Jota dakika ya 85, wakati bao pekee la West Ham limefungwa na Jarrod Bowen dakika ya 42.

Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 16 na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa pointi mbili na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi sita, wakati West Han United inabaki na pointi zake 10 za mechi sita pia nafasi ya saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live