Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool waichapa Norwich Bao 5 na kusonga mbele Kombe la FA

Liver 5 2 Liverpool waichapa Norwich Bao 5 na kusonga mbele Kombe la FA

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Liverpool imeibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England Jana Jumapili Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool.

Mabao ya Liverpool yamefungwa na Curtis Jones dakika ya 16, Darwin Nunez dakika ya 28, Diogo Jota dakika ya 53, Virgil van Dijk dakika ya 63 na Ryan Gravenberch dakika ya 90.

Kwa upande wao Norwich City mabao yao yamefungwa na Ben Gibson dakika ya 22 na Borja Sainz dakika ya 69 safari yao ikiishia Raundi ya Nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live