Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool wagomea kadi nyekundu ya Curtis Jones

Skysports Premier League Liverpool 6303895 Liverpool wagomea kadi nyekundu ya Curtis Jones

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool FC inakata rufaa dhidi ya kadi nyekundu ambayo Curtis Jones alipewa dhidi ya Tottenham.

Klabu ya Liverpool FC inakata rufaa dhidi ya kadi nyekundu ambayo Curtis Jones alipewa dhidi ya Tottenham. Mchezo huo ulipigwa Jumamosi iliyopita na kushuhudia Liverpool wakipoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu baada ya kukubali kichapo cha bao 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live