Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool wachezea Kichapo EPL

Liver I 0 Liverpool wachezea Kichapo EPL

Sat, 11 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majogoo wa Jiji, Klabu ya Liverpool, wameshindwa kutamba mbele ya AFC Bournemouth katika dimba la Vitality licha ya Ushindi mnono wa 7-0 Weekend iliyopita na kupokea kichapo cha 1-0.

Majogoo wa Jiji, Klabu ya Liverpool, wameshindwa kutamba mbele ya AFC Bournemouth katika dimba la Vitality licha ya Ushindi mnono wa 7-0 Weekend iliyopita na kupokea kichapo cha 1-0. Katika mchezo huo Liverpool walipoteza nafasi ya kusawazisha bao baada ya Mohammed Salah kukosa mkwaju wa Penati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live