Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool vs Chelsea hapatoshi leo

Chelsea Vs Liver Leo Liverpool vs Chelsea hapatoshi leo

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu England inaendelea tena leo Januari 31, 2024 kwa mechi tatu kwenye viwanja tofauti, kubwa kuliko ni mtanange kati ya Majogoo, Liverpool dhidi ya Chelsea ‘The Blues’ katika dimba la Anfield majira ya saa 5:15 usiku.

22:30 Man City vs Burnley Uwanja: Etihad

22:30 Tottenham vs Brentford Uwanja: Tottenham Hotspur

23:15 Liverpool vs Chelsea Uwanja: Anfield

Chanzo: www.tanzaniaweb.live