Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool kuvunja rekodi yao ya Uhamisho kwa Rodrygo?

Rodrygooooo Nyota wa Real Madrid Rodrygo

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool wanaweza kuvunja rekodi yao ya uhamisho iwapo dau la pauni milioni 103 kwa mshambuliaji wa Real Madrid, Rodrygo litakubaliwa na klabu hiyo ya Uhispania.

Liverpool wanaweza kuvunja rekodi yao ya uhamisho iwapo dau la pauni milioni 103 kwa mshambuliaji wa Real Madrid, Rodrygo litakubaliwa na klabu hiyo ya Uhispania. The Reds wamepanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake cha msimu ujao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live