Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool kushuka Dimbani leo

Alexis Mac Allister Wage Contract Liverpool.png Liverpool kushuka Dimbani leo

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya Furth Fc kutokea nchini Ujerumani ikiwa ni mchezo wa kujipima katika maandalizi ya msimu ujao wa 2023/24.

Mchezo huo utapigwa katika dimba la nyumbani la klabu ya Furth Fc Laubenweg huku nchini Ujerumani ambapo mechi itaanza saa kumi ya jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.

FURTH FC VS LIVERPOOL

Saa 10:00 Jioni

#PreseasonFriendly

Leubenweg Stadium.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live