Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool kumfunga Ibrahima Konate

Ibrahima Konate Ibrahima Konate

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool ipo katika mazungumzo ya mkataba mpya na Ibrahima Konate , Liverpool imeamua kuanza mazungumzo na wawakilishi wa Konate ili kuangalia uwezekano wa kumuongezea mkataba mwingine baada ya ule wa awali unaofikia Ukiongoni Juni 2026.

Liverpool ipo katika mazungumzo ya mkataba mpya na Ibrahima Konate , Liverpool imeamua kuanza mazungumzo na wawakilishi wa Konate ili kuangalia uwezekano wa kumuongezea mkataba mwingine baada ya ule wa awali unaofikia Ukiongoni Juni 2026. Kufuatia kuridhishwa na kiwango cha Ibarahima Konate ndani ya Liverpool mwalimu Jurgen Klopp ameona ni bora kuufanyia maboresho mkataba wake mapema na kuendelea na mambo mengine, kambi ya Konate haina shaka juu ya mazungumzo hayo kwa kuwa mahusiano yao na Liverpool hayajawahi kuwa na utata pia mchezaji mwenyewe anajisikia furaha kuendelea kusalia Liverpool kwa kipindi hiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live