Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool chupuchupu EPL

Luton Vs Liver Luis Diazi aliifungia Liverpool bao la kusawazisha

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Luton Town wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumapili Uwanja wa Kenilworth Road mjini Luton, Bedfordshire.

Tahith Chong alianza kuifungia Luton Town dakika ya 80, kabla ya Luis Diaz kutokea benchi na kuisawazishia Liverpool dakika ya 90 na ushei.

Kwa matokeo hayo, Liverpool inafikisha pointi 24 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Luton Town imefikisha pointi sita na kusogea nafasi ya 17 baada ya wote kucheza mechi 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live