Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool, Man United watunishiana misuli kwa Tchouameni

Aurelien Tchouameni Aurelien Tchouameni

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool imeripotiwa kuweka ofa ya Pauni 47.3 milioni kumnasa kiungo wa Real Madrid, Aurelien Tchouameni.

Liverpool ilihusishwa kumsajili staa huyo wa kimataifa wa Ufaransa dirisha lililopita, lakini ilishindwa kuwalipa Monaco na kuwafanya Madrid kunasa saini yake.

Manchester United ambao ni mahasimu wa Liverpool nao pia wameonesha nia ya kumuhitaji Kiungo huyo.

Je, Nani ataibuka mbabe baina ya vigogo hao? Tuachie Comment yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live