Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool, Man United wapigana vikumbo kumuwania De Jong

De Jong .png Frankie de Jong

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Liverpool inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imepanga kuingilia dili la mchezaji wa klabu ya Barcelona Frenkie de Jong aliekua anawaniwa na klabu ya Man United.

Frenkie de Jong ambare alikua chaguo la kwanza la kocha wa Manchester United Eric ten Haag baada ya kujiunga na klabu ya Manchester United lakini hawakuweza kufanikiwa kumpata mchezaji huyo alieamua kusalia kwenye miamba hiyo ya Catalans.

Liverpool imejiunga katika mbio za kumuhitaji mchezaji huyo ambaye alihitajika sana na Man United katika dirisha lililopita kama ataamua kuondoka katika klabu kama ambavyo inaelezwa mchezaji huyo anapanga kuondoka klabuni hapo.

Kiungo huyo ambaye amekua hapati nafasi ya kutosha ya kucheza ndani ya klabu ya Barcelona vyanzo vya ndani vinaeleza kama hali ikiendelea hivo bdani ya klabu ya Fc Barcelona.

Klabu ya Liverpool ipo tayari kugombania mchezaji huyo dhidi ya United ambao bado wanamuota mchezaji huyo kutua kwenye klabu yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live