Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool, Man City hakuna mbabe

FAym05qX0AAJ4p Kiungo wa Liverpool Fabinho

Mon, 4 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bonge la mechi, ufundi wa kutosha kutoka miongoni mwa Makocha bora duniani, Jurgen Klopp akiwa na Liverpool yake dhidi ya Pep Guardiola.

Ulikuwa ni mchezo wa raundi ya 7, Ligi Kuu England ambao umewakutanisha wakali wawili wanaopigiwa upatu wa kunyakua taji msimu huu 2021/2021, Liverpool dhidi ya Manchester City.

Mchezo huo ambao uliisha kwa sare ya magoli 2-2, umekuwa kivutio kwa wengi kwa namna ambavyo kila timu imeonyesha kiwango safi.

Magoli ya Liverpool yamefungwa na Sadio mane 59' na Mohamed salah 76 huku yale ya City yakifungwa na Phil foden 69' na kiungo Kevin De Bruyne 81'.

Nyota wa Liverpool Mohamed Salah amehusika katika magoli yote mawili akitoa pasi moj ya bao na kufunga bao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live