Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool, Arsenal vitani kwa kiungo wa Real Madrid

Aurelien Tchouameni Liver.jpeg Aurelien Tchouameni

Mon, 3 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool imejipanga kuingia kwenye vita dhidi ya Arsenal ili kuipata saini ya kiungo wa Real Madrid, Aurelien Tchouameni dirisha lijalo.

Timu hizi zimeshawishika kutaka kumsajili kiungo huyu kwa sababu hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Madrid kwa msimu huu na amecheza mechi 21 za La Liga.

Mkataba wa fundi huyu unamalizika mwaka 2028 na kiwango kibovu cha Majogoo hao wa Liverpool msimu huu kinaifanya iingie sokoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live