Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Liverpool, Arsenal, Man United vitani kumuwania Hato

Hato Liverpool, Arsenal, Man United vitani kumuwania Hato

Mon, 18 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Liverpool na Manchester United wameripotiwa kuungana na Arsenal katika mbio za kumsajili beki mchanga wa Ajax, Jorrel Hato.

Liverpool na Manchester United wameripotiwa kuungana na Arsenal katika mbio za kumsajili beki mchanga wa Ajax, Jorrel Hato. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 hivi majuzi ameisaini kandarasi mpya na wababe hao wa Amsterdam hadi mwaka 2028 ambao umemfanya kuwa nahodha mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya Ajax.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live