Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

List: Majina ya wanaowania tuzo ya mchezaji bora Oktoba

Player Of The Month.png Orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi

Thu, 4 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majina ya wachezaji nane yametolewa ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba katka ligi ya EPL.

Kuna Mohammed Salah, Ramsdale, Chilwell, Livramento, Tielemans, Rice, Cornet na Phil foden.

Nani ataibuka kidedea katika kinyang"anyiro hicho? tusubiri muda wa utolewaji wa tuzo hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live