Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lissu: Rotation ya Gamondi imelipa Yanga

Skudu Moloko Kibabage Sure Boy Kibwana Yanga Lissu: Rotation ya Gamondi imelipa Yanga

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Derick Lissu akichambua maamuzi yaliyofanywa na Kocha wa Yanga kuwapa nafasi baadhi ya nyota ambao walikuwa hawapati nafasi.

“Ninachowapongeza Yanga wamefanya rotation na rotation imelipa kwa sababu Skudu licha ya kutokuwa na kiwango kizuri kwenye mechi yote kwa sababu kuna wakati alikuwa akifanya mbwembwe sana (too much annimation)”

“Kuwa productive (mzalishaji) kuna tufurahisha zaidi watazamaji kuliko mbwembwe, bahati nzuri amefunga asingefunga tungezungumza mengine muda huu,” amesema Lissu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live