Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lionel Messi ashinda Ballon D'or ya nane

IMG 6158.jpeg Mshindi wa Tuzo ya Ballon D'or 2023 Lionel Messi

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lionel Messi "mchawi mweupe' ameandika rekodi mpya katika ulimwengu wa Soka baada ya kunyakua tuzo ya Ballon D'or 2023 na kufikisha Ballon D'or 8.

Messi amenyakua tuzo hiyo akiwapiku makinda wanaofanya vizuri kwa sasa Kylian Mbappe na Erling Haaland alioingia nao tatu Bora.

Messi ameshinda tuzo hiyo akiwa ametoka kuisaidia Argentina kunyakuwa Ubingwa wa Dunia katika fainali zilizofanyika nchini Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live