Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lionel Messi afikisha mabao 100+ Argentina

Lionel Messi LaPulga Lionel Messi

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Argentina Lionel Messi anzidi kujiweka katika vitabu vya historia ya mpira akiwa na Timu yake ya Taifa ya Argentina.

Lionel Messi dhidi ya Curacao

Dakika alizocheza 90 Mabao 3 Pasi ya bao 1 Kugusa mpira x 70 Pasi sahihi 40 Pasi muhimu 3 Mashuti yaliyolenga goli 3 Chenga zilizofanikiwa 3 Mipira ya kugombania aliyoshinda 4 Amechezewa faulo 1

Mchezaji watatu katika historia ya soka la kimataifa kwa upande wa wanaume kuifungia nchi yake mabao zaidi ya 100.

Cristiano Ronaldo (122) Ali Daei (109) Lionel Messi (102)

Mchezaji wa kwanza kabisa kutoka bara la amerika ya kusini kufunga mabao 100 ya kimataifa.

Mshindi wa kwanza wa kombe la dunia katika historia kufunga mabao 100 ya kimataifa.

Mchezaji wapili aliyefunga hat trick nyingi zaiidi katika soka la kimataifa kwa upande wa wanaume.

Cristiano Ronaldo (hat trick 10) Lionel Messi (hat trick 9) Sven Rydell (hat trick 9)

Lionel Messi tangu alipoanza kuichezea timu ya taifa ya Argentina

Mechi 174 Dakika alizocheza 14465 Mabao 102 Pasi za mabao 56 Amehusika katika mabao 158 katika mechi 174

Chanzo: www.tanzaniaweb.live