Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lingard kurudi West Ham

Jesse Lingard Nottingham Forest F365 2 Jesse Lingard

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabi ya West Ham inatathmini uwezekano wa kumsajili kiungo wa zamani wa England, Jesse Lin-gard, mwenye umri wa miaka 30, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuachiwa na Nottingham Forest kutokana na mkataba wake kumalizika.

Klabi ya West Ham inatathmini uwezekano wa kumsajili kiungo wa zamani wa England, Jesse Lin-gard, mwenye umri wa miaka 30, ambaye ni mchezaji huru baada ya kuachiwa na Nottingham Forest kutokana na mkataba wake kumalizika. Lingard alicheza kwa mkopo West Ham na kuonesha kiwango safi lakini alikataa kubaki akachagua kujiunga na Nottigham Forest kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live