Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lingard aitwa Korea

Jesse Lingard Korea Jesse Lingard

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

FC Seoul inayoshiriki Ligi kuu Korea kusini maarufu kama K-League imempa Jesse Lingard (31) mkataba wa miaka miwili na mshahara mkubwa.

FC Seoul inayoshiriki Ligi kuu Korea kusini maarufu kama K-League imempa Jesse Lingard (31) mkataba wa miaka miwili na mshahara mkubwa. Jesse Lingard atawasili Korea Kusini siku ya Jumatatu kwa ajili ya vipimo vya afya kisha kusaini mkabata wake, ripoti ya BBC Sport

Chanzo: www.tanzaniaweb.live