Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lille yampa heshima yake Eden Hazard

Hazard Pic Eden Hazard

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Lille imeupa jina la nyota wake wa zamani Eden Hazard uwanja wake wa mazoezi, Nyota huyo alijiunga na Academy ya Lille 2005 na alicheza hadi 2012.

Klabu ya Lille imeupa jina la nyota wake wa zamani Eden Hazard uwanja wake wa mazoezi, Nyota huyo alijiunga na Academy ya Lille 2005 na alicheza hadi 2012. Hazard aliisaidia klabu hiyo kutwaa taji la Ligi kuu nchini Ufaransa [League 1] na Coupe de france mwaka 2011 kabla hajatimkia Chelsea na baadae kuelekea Real Madrid ambapo ndipo alipotangazia kustaafu soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live