Thu, 23 Mar 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Bodi ya Ligi Kuu Zanzibar imetangaza kusimama kwa ligi ili kupisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan unaoanza leo Machi 23, 2023.
Ligi hiyo itarejea Mei 6, 2023 kumalizia mizunguko iliyobaki.
Taarifa hiyo imetolewa na C.E.O Bodi ya Ligi Zanzibar, Hashim Salum
Msikilize hapa chini C.E.O akitoa taarifa ya kusimama kwa PBZ Premier League;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live