Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi ya Wanawake yapigwa kalenda, kuanza Disemba 23

Wl3 Ligi ya Wanawake yasogezwa mbele

Sat, 6 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF, limesogeza mbele tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Wanawake maarufu kama Serengeti Lite mpaka Disemba 23 mwaka huu.

Katika taarifa yake TFF, imeeleza kuwa sababu ya kusogezwa mbele ni ushiriki wa Timu ya Taifa ya Wanawake "Twiga Stars" kushiriki katika mashindano ya CECAFA na ile ya U20 kukabiliwa na mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia.

Awali Ligi hiyo ilipangwa kuanza Novemba 13.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live