Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi ya Misri inavyozidi kuboronga

Ahly Zamalek Ligi ya Misri inavyozidi kuboronga

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi namba moja (1) kwa ubora Barani Afrika imeendelea kufanya madudu kwenye upande wa ratiba.

Sasa ni rasmi klabu hizi zitaiwakilisha Egypt kwenye michusno ya (CAF) 24|25, sio kwa sababu ziko juu kwenye msimamo bali wametumia msimamo wa ligi iliyopita.

◉ Al-Ahly - Klabu bingwa.

◉ Pyramids - Klabu bingwa.

◉ Zamalek - Shirikisho.

◉ Al-Masry - Shirikisho.

Mpaka sasa Al-Ahly wamecheza mechi (15) za Ligi Kuu kati ya (34) hivyo ligi hiyo haiwezi kumalizika ndani ya tarehe iliyotangazwa na CAF kuwa ligi zote zinapaswa kuwasilisha majina ya timu zote zilizofuzu June 30.

Msimamo wa Ligi Kuu 2023|24

01. Mechi 22 alama 53 - Pyramids.

02. Mechi 24 alama 39 - Al-Masry.

03. Mechi 23 alama 37 - ZED

04. Mechi 24 alama 36 - ENPI

.....

08. Mechi 15 alama 33 - Al-Ahly

.....

12. Mechi 17 alama 28 - Zamalek.

Hii sio mara ya kwanza, hata msimu wa 22/23 walitumia msimamo wa ligi iliyopita.

22/23 Al-Ahly alipaswa kushiriki Shirikisho lakini kwa sababu ligi ilichelewa kuisha wakatumia msimamo wa nyuma, Al-Ahly akaenda Champions League.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live