Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi ngumu, Skudu anatetewa - Oscar Oscar

Zdv Skudu Yanga Skudu Makudubela.

Sat, 7 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ili uwe salama kwenye mpira wetu cheza hizi Simba na Yanga na hata Azam pia kuna ulinzi fulani hivi unaipata ambapo kwenye timu nyingine kwa kiasi kikubwa huenda ukaukosa.

Kwa picha ya kawaida Skudu Makudubela au wachezaji wa aina yake na kiwango anachokionyesha angekuwa anacheza kwenye vilabu vingine hali ingekuwa mbaya zaidi kwake.

Kuna vitu vingi sana vya kumuingiza kwenye lawama au wasiwasi wa hiki kiwango chake anachokionyesha tangu atue Yanga,kumekuwa na mporomoko na kukosa muendelezo kutoka upande wake.

Lakini kwa bahati nzuri anatetewa na aina ya timu anayocheza na aina ya matokeo yanayopatikana kwake ni nzuri kama angekuwa anacheza timu nyingine hali ingekuwa mbaya zaidi kuliko ilivyo kwa sasa anapocheza Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live