Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ligi Kuu makocha wazawa ni saba tu!

Kocha Taifa Stars Ataja Sababu Kumuita Feisal Ligi Kuu makocha wazawa ni saba tu!

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kati ya makocha 16 wa timu za Kigi Kuu ya NBC msimu huu 2023|24, makocha saba [7] ni wazawa na makocha tisa [9] ni raia wa kigeni.

Makocha wengi wazawa wanatoka kwenye timu za taasisi [binafsi au serikali], ni Ihefu SC pekee ambayo si timu ya taasisi lakini ina kocha mzawa.

MAKOCHA WAZAWA WA TIMU ZA LIGI KU NI:

1. Abdallah Mohamed ‘Barres’ [Mashujaa FC] 2. Hemed Morocco [Geita Gold FC] 3. Zuber Katwila [Ihefu SC] 4. Malale Hamsini [JKT Tanzania] 5. Habib Kondo [Mtibwa Sugar] 6. Fredy Felix Minziro [Tanzania Prisons] 7. Mecky Maxime [Kagera Sugar].

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: